Developer API Documentation
Nyaraka za kiufundi kwa ajili ya watengenezaji programu wanaotaka kuunganisha huduma ya Spro Link Shortener kwenye mifumo yao.
API Authentication
API Key Inahitajika
Ili kufanya majaribio au kutumia API yetu kwenye mifumo yako, unapaswa kuwa na akaunti na kuzalisha API authentication key.
Authentication zote lazima zifanywe kwa kutuma key kwenye Header ya HTTP:
X-API-Key: YOUR_API_KEY
au kupitia standard Bearer Token:
Authorization: Bearer YOUR_API_KEY
Standard Error Codes
Ukipata makosa (kama ukomo kufikiwa au data isiyo sahihi), API itarudisha HTTP status code sahihi na JSON yenye `error_code` rasmi.
| Error Code | HTTP Code | Maelezo |
|---|---|---|
| ERR_MISSING_API_KEY | 401 | API Key haijatumwa kwenye headers. |
| ERR_INVALID_API_KEY | 401 | API Key uliyowasilisha haitambuliki. |
| ERR_RATE_LIMIT_EXCEEDED | 429 | Umezidisha ukomo wa maombi kwa dakika moja. |
| ERR_MISSING_URL | 400 | Parameter ya 'original_url' haikuwekwa kwenye POST request. |
| ERR_INVALID_URL | 400 | URL uliyoweka si sahihi (haina mpangilio unaofaa). |
| ERR_CUSTOM_CODE_TAKEN | 409 | Custom slug unayotaka kuweka tayari imetumiwa na mtu mwingine. |
| ERR_LINK_NOT_FOUND | 404 | Short code unayoitafuta au unayotaka kuifuta haipo. |
| ERR_UNAUTHORIZED | 403 | Huna ruhusa ya kupata, kuona takwimu, au kufuta kiungo hiki. |
| ERR_INTERNAL_SERVER_ERROR | 500 | Hitilafu ya ndani ya database au server wakati wa kuchakata ombi lako. |
Integration Code Examples
Bofya tab husika kuona mifano kamili ya code za kuunganisha API kwenye mifumo yako:
Endpoint Reference
Inatumika kufupisha link mpya asilia na kuisajili.
| Parameta | Aina | Hali | Maelezo |
|---|---|---|---|
| original_url | String | Required | URL asilia unayotaka kuifupisha. Lazima ianze na http:// au https:// |
| custom_code | String | Optional | Slug maalum kwa kiungo (Mfano: mauzo). Urefu 3-50. |
| description | String | Optional | Maelezo ya kiungo. (Max: 255) |
| expires_at | String | Optional | Tarehe ya mwisho ya matumizi (Format: YYYY-MM-DD HH:MM:SS) katika siku za usoni. |
| password | String | Optional | Nenosiri kwa ajili ya kulinda kiungo. (Min: 4) |
Kuorodhesha viungo vyote vilivyofupishwa chini ya akaunti yako.
Inapata mchanganuo wa click, referrers, tarehe na nchi za wageni wa kiungo.
Kufuta kiungo chako pamoja na clicks takwimu zake zote.